Mradi wa miaka mitatu wa Ecofinder Kenya, shirika lisilo la kiseriakali linaloshirikiana na Winam Gulf Wetlands mjini Kisumu, liliwapa jamii zinazoishi katika vinamasi vya Ziwa Victoria vichocheo ndiposa nao waweze kuhifadhi vinamasi.
Na Annika McGinnis
Mabadiliko ya tabia nchi, kilimo na mabwawa huathiri pakubwa vinamasi nchini Kenya – hivyo kuchangia shida iliyoko ya maji na upungufu wa samaki.