Data. Maps. Storytelling.

Data. Maps. Storytelling.

Pesa kwanza, afya baadaye

NA FELIX MWAKYEMBE, CHUNYA PESA, ndicho kitu pekee chenye thamani kwa wachimbaji wadogo katika Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya, afya sio kipaumbele chao. Wachimbaji hao wadogo wa dhahabu hawaliangalii suala afya zao kuwa ni jukumu lao wenyewe, bali wamemuachia Mungu, kwao ndiye anayewasaidia kuepukana na magonjwa ya milipuko. “Mungu anatusaidia, magonjwa ya milipuko hakuna, ila […]

Mradi wa kimsingi wa maji taka eneo la Kilimahewa laboresha usafi wa maji Ziwa Victoria

Utililishaji wa maji taka na uchafu  katika mazingira  hususani ya Milimani,umetajwa kuwa chanzo kikuu cha uchafuzi  wa  maji ndani ya ziwa Victoria. Kutokana na hali hiyo mamlaka ya maji safi na maji taka jijini Mwanza (MWAUWASA) imelazimika kuanzisha mradi wa ujenzi wa bomba za kusafirisha maji taka kwa maeneo ya milimani hadi katika mabwawa ya […]

Vita dhidi ya vifaa haramu vya uvuvi, vyazaa matunda Ziwani Victoria

Ripoti hii imefanikishwa kutokana na ruzuku iliyodhaminiwa na InfoNile pamoja na Code for Africa. Ilichapishwa kwanza na Star TV. Operesheni ya kuzuia uvuvi haramu inayoendelea katika ziwa victoria imemkamata mvuvi mkubwa, Joseph Kando Mkama maarufu kama Njiwa pori akiwa ameficha zana za uvuvi haramu zenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni moja nukta moja. Katika […]

(English) 11.58 Billion Birr collected for GERD

Samahani, kuingia hii inapatikana tu kwa Kiswahili


  • March 22, 2018   Infonile Editors     0

Water is becoming scarcer for the half a billion people living in Africa's Nile River basin. Will Nile countries ...

  • February 28, 2018   Infonile Editors     0

Special Project exploring how urbanization destroyed a critical Kampala wetland and why it matters. By Annika McGinnis and Fredrick Mugira ...


Latest stories

×

Find the location

Find

Result:

Latitude:
Longitude:

Zoom:

Finish geocoding

×

Submit a story

Do you have news to share from the Nile Basin? Contribute by submitting your story. Help broaden the understanding of the global impact of this important region in the world.

Find location on map

Find location on map