Masikitiko Yanayotokana na Uchimbaji Mafuta Nchini Sudan

Decades of oil drilling in West Kordofan province was linked to water contamination, environmental changes and health effects for citizens. Details here…

Ndege Watengewa Shamba Taita Taveta, Kenya

Ndege aina ya Taita Apalis kwa jina la kisayansi Apalis Fuscigularis, ni ndege anayepatikana Kaunti ya Taita Taveta pekee na yuko hatarini kuangamizwa.

Maji yanapoimeza ardhi ya wakazi wa Ripon

Habari ya ardhi inayozama  inaangazia tamu na chungu ya uhusiano uliopo kati binadamu na maji kwa wakazi waishio  eneo la

TAWIRI yabuni mbinu za kuzuia tembo kuvamia mashamba vijijini

Hatimaye Taasisi ya Utafiti wa Wanyampori Tanzania (TAWIRI) imebuni mbinu saba, ambazo tayari zimeanza kutumika kuzuia tembo kuvamia na kuharibu mashamba ya mazao ya chakula vijijini.

Migogoro ya binadamu na wanyamapori Hifadhini yaibua ubunifu

Na Linah Mwamachi Katika kaunti ya Taveta nchini Kenya, mitafaruku katika ya wanyamapori na binadamu imekuwa ikijitokeza kwa miaka mingi

Sokwe maarufu Tanzania wako hatarini kutoweka kabisa kwenye uso wa dunia

COVID 19 inasababisha hofu ya vifo vya wanyama na kupungua kwa watalii Prosper Kwigize- Kigoma, Tanzania Wakati biashara ya maliasili

Wahifadhi Kenya washindwa kulipa ardhi waliyokodisha kutokana na janga la COVID-19 linalohusishwa na kushuka kwa mapato ya utalii

Na Lenah Bosibori  Janga la korona limeziathiri kwa   kiasi kikubwa  hifadhi za nchini Kenya.  Shughuli za kitalii kwenye mbuga

Uokoaji Wa Twiga aina ya Rotchild nchini Kenya

Mwandishi: Sharon Atieno Twiga wa Rothschild hupatikana tu nchini Uganda na Kenya Kumekuwa na upungufu wa karibu 40% katika idadi

Addis Ababa, COVID-19 ni changamoto na pia fursa

Mekonnen Teshome na Tesfaye Abate Ethiopia imekuwa ikikabiliwa na tatizo la ukosefu wa maji safi kwa kipindi kirefu sasa. Lakini

Addis Ababa COVID-19 ni changamoto na pia fursa

Mekonnen Teshome na Tesfaye Abate Ethiopia imekuwa ikikabiliwa na tatizo la ukosefu wa maji safi kwa kipindi kirefu sasa. Lakini