Misri na Uhabeshi yagongana kuhusu ujenzi wa mradi wa umememaji la bwawa la Grand Renaissance, litalogharimu dola bilioni nne za Kimarekani, ambalo linatazamiwa kupunguza maji ya Nile, yanayotumika katika mashamba ya Misri na hifadhi za maji kutoka milima ya Uhabeshi kupitia nchi ya Sudan.