Uncategorized @sw

Chimpanzee Natural High Safaris
Hadithi Zote Uncategorized @sw

Sokwe maarufu Tanzania wako hatarini kutoweka kabisa kwenye uso wa dunia

COVID 19 inasababisha hofu ya vifo vya wanyama na kupungua kwa watalii Prosper Kwigize- Kigoma, Tanzania Wakati biashara ya maliasili na mazingira inazidi kushamiri duniani, mazingira hatari na ulinzi mdogo wa wanyamapori zinatajwa kuwa ni vitisho vikubwa kwa uchumi wa Eneo la Maziwa Makuu hasa Tanzania ambako utalii ni moja ya vyanzo vikuu vya mapato […]
By:
Soma zaidi...
Conservancies in Kenya. By Kenya Wildlife Conservancies
Hadithi Zote Uncategorized @sw

Wahifadhi Kenya washindwa kulipa ardhi waliyokodisha kutokana na janga la COVID-19 linalohusishwa na kushuka kwa mapato ya utalii

Na Lenah Bosibori  Janga la korona limeziathiri kwa   kiasi kikubwa  hifadhi za nchini Kenya.  Shughuli za kitalii kwenye mbuga ya wanyama ya Maasai Mara ambayo ni maarufu Duniani zimeshuka sana na kupelekea miradi ya uhifadhi kuwa hatarini kutokana na ukosefu wa fedha. Hadi sasa Kenya imepoteza takriban asilimia themanini ya mapato yake yatokanayo na […]
By:
Soma zaidi...
IMG 6268 2
Hadithi Zote

Uokoaji Wa Twiga aina ya Rotchild nchini Kenya

Mwandishi: Sharon Atieno Twiga wa Rothschild hupatikana tu nchini Uganda na Kenya Kumekuwa na upungufu wa karibu 40% katika idadi ya twiga nchini kwa zaidi ya miongo mitatu iliyopita. Soma zaidi juu ya hatua za Kituo cha Twiga kuokoa Rothschild kupitia Uhifadhi na Uhamishaji Kati ya aina tisa za twiga zinazopatikana barani Afrika, tatu mingoni […]
By:
Soma zaidi...
Daniel
Hadithi Zote
Kenya

Huku majanga ya ugonjwa na ukosefu wa maji yakizidi nchini Kenya, WaterCredit, umewezesha jamii za mapato ya chini kujipatia maji huku ikidumisha hali ya usafi kupitia mikopo midogo.

Na George Achia Rose Okeyo mwenye umri wa miaka 38, alikuwa tayari anatatizika kupata maji ya kutosha kwa matumizi yake ya nyumbani katika kipindi cha kutotoka nje kufuatia janga la COVID-19, wakati ruzuku ya maji ilipobomolewa na maporomoko wa ardhi karibu na nyumbani kwake katika kitongoji duni cha Kawangware, mjini Nairobi. Mvua nyingi iliyonyesha msimu […]
By:
Soma zaidi...
Trees planted by the team within the Bubulo Town Council Copy
Uncategorized @sw Hadithi Zote Kilimo Mabadiliko ya hali ya hewa
Uganda

Manusura wa Mporomoko Wa Ardhi Eneo la Mlima Elgon, Wapanda Miti 30,000 Kupitia Akiba ya Kikundi cha Kijiji, Ili Kupambana na Tabia Nchi

Na Javier Silas Omagor Miaka mitano iliyopita wakati Musa Mandu alimufahamisha mke na jamii yake kwamba atawachana na kazi yake ya serikali ya mtaa ili apambane na tabia nchi wilayani Manafwa, walisikitika sana. “Hawakuelewa maana yake ni nini. Hawakudhania kwamba hii ingeniwezesha kujimudu na kumudu jamii yangu kifedha,” Mandu alisema. “Haikuwa na bado sio kitu […]
By:
Soma zaidi...
Julia Asekenya of Tajar Kolir in Bukedea district collecting water from the nearby stream which is their main source
Hadithi Zote
Uganda

Watoto Walionusurika Maporomoko ya Udongo Waongoza Jitihada za Kupanda Miti katika Kambi Mpya ya Bunambutye Waishiyo iliyo na Upungufu wa Maji

Na Javier Silas Omagor Mamia ya watu wanapambana na upungufu mkubwa wa maji safi na salama katika vijiji vya Bunambutye ambavyo ni makazi mapya ya wahanga wa maporomoko ya maji, huku kwa upande mwingine wakipambana na janga la Corona. Kaya takribani 140 zilizoathirika katika Awamu ya II zilihamishiwa kutoka Bududa na kupelekwa makazi ya Bunambutye […]
By:
Soma zaidi...