Hali ni mbaya kufuatia mauzo ya Samaki kuporomoka Tanzania
Wavuvi na viwanda vya ndani viko hatarini kufilisika huku uvuvi haramu ukiendelea kushika kasi katika maji ya Ziwa Victoria, Tanzania.