Maji

Daniel
Hadithi Zote
Kenya

Huku majanga ya ugonjwa na ukosefu wa maji yakizidi nchini Kenya, WaterCredit, umewezesha jamii za mapato ya chini kujipatia maji huku ikidumisha hali ya usafi kupitia mikopo midogo.

Na George Achia Rose Okeyo mwenye umri wa miaka 38, alikuwa tayari anatatizika kupata maji ya kutosha kwa matumizi yake ya nyumbani katika kipindi cha kutotoka nje kufuatia janga la COVID-19, wakati ruzuku ya maji ilipobomolewa na maporomoko wa ardhi karibu na nyumbani kwake katika kitongoji duni cha Kawangware, mjini Nairobi. Mvua nyingi iliyonyesha msimu […]
By:
Soma zaidi...
IMG61110 Nyabarongo
Mabadiliko ya hali ya hewa
Rwanda

Vijana Nchini Rwanda Wachukuwa Usukani Katika Utunzi wa Tengamaji wa Nyabarongo

Na Aimable Twahirwa Ni masaa ya asubuhi Jumatatu moja lenye joto jingi huko Nyamagabe,  ambayo ni wilaya iliyo na milima mingi Kusini mwa Rwanda, ambako kundi la vijana limekusanyika kwa mkutano, ili kushiriki katika mafunzo muhimu ya kuzuia momonyoko wa udongo wa kila mara hadi mto jirani wa Nyabarongo. Mkakati huu ni mojawapo ya zoezi […]
By:
Soma zaidi...
toshka project
Maji Uncategorized @sw
Egypt

Jinsi ambavyo maji yanavyoingia katika guba

Na Nada Arafat Sehemu kubwa ya kijani kibichi inayoenea hadi upeo wa macho, inashughulikiwa na mashine ya kisasa, ambayo imechukuwa nafasi ya wafanyi kazi. Ardhi hii inamwagiliwa maji kwa kutumia mfumo unaohusisha mashine ya umwagiliaji maji iliyo unganishwa kwa mifereji ambayo hutumika kupitisha maji yanayosukumwa kutumia mojawapo ya vituo vya mabomba kubwa zaidi ulimwenguni. Wahandisi […]
By:
Soma zaidi...
dsc 0095 1
Hadithi Zote
Kenya

TAKA hadi MALI: Jinsi ambavyo wakulima nchini Kenya wanavyohuisha maeneo ya vinamasi Ziwani Victoria yaliyozorota

Mradi wa miaka mitatu wa Ecofinder Kenya, shirika lisilo la kiseriakali linaloshirikiana na Winam Gulf Wetlands mjini Kisumu, liliwapa jamii zinazoishi katika vinamasi vya Ziwa Victoria vichocheo ndiposa nao waweze kuhifadhi vinamasi. Na Annika McGinnis Mabadiliko ya tabia nchi, kilimo na mabwawa huathiri pakubwa vinamasi nchini Kenya – hivyo kuchangia shida iliyoko ya maji na […]
By:
Soma zaidi...
Webp.net compress image 3
Hadithi Zote
Uganda

Miongo ya Matumizi Busara Yazalisha Matunda Katika Kinamasi cha Kabale

Makubaliano ya umiliki wa kijamii katika kinamasi cha Mugandu-Buramba kimethibiti Kinamasi hiki kwa miaka 40, huku kikiwasaidia wakulima kupata maishilio   Makala na midia-anuai na Fredrick Mugira Usaidizi wa kifundi na Annika McGinnis na Code for Africa   Maua inachanuka katika kinamasi cha Mugandu-Buramba kusini magharibi mwa Wilaya ya Kabale nchini Uganda, kuna yale ya […]
By:
Soma zaidi...
Marsh 1
Ardhi Maji
Rwanda

Rwanda: Kufurushwa kwa Wawekezaji Kutoka Kwa Vinamasi Kwafanikiwa, Ila Mengi Bado Yahitajika Kufanywa

Makala haya yameandaliwa kwa hisani ya InfoNile na Code for Africa Na Leonce Muvuni Serikali ya Rwanda inajitahidi kuwaondoa wawekezaji wote pamoja na kuharamisha shughuli zote zilizo kinyume na sheria ndani ya vinamasi, kwa madhumuni ya kurejesha hali yao ya kiekolojia. Shughuli hii ya kufutilia mbali ujenzi wa aina yote kutoka sehemu zilizotengwa za vinamasi, […]
By:
Soma zaidi...