Hali ni mbaya kufuatia mauzo ya Samaki kuporomoka Tanzania
Wavuvi na viwanda vya ndani viko hatarini kufilisika huku uvuvi haramu ukiendelea kushika kasi katika maji ya Ziwa Victoria, Tanzania.
Wavuvi na viwanda vya ndani viko hatarini kufilisika huku uvuvi haramu ukiendelea kushika kasi katika maji ya Ziwa Victoria, Tanzania.
Migogoro miongoni mwa jamii za wavuvi nchini Kenya imekithiri kutokana na kupungua kwa uzalishaji wa samaki katika Ziwa Victoria.