Kilimo

Trees planted by the team within the Bubulo Town Council Copy
Uncategorized @sw Hadithi Zote Kilimo Mabadiliko ya hali ya hewa
Uganda

Manusura wa Mporomoko Wa Ardhi Eneo la Mlima Elgon, Wapanda Miti 30,000 Kupitia Akiba ya Kikundi cha Kijiji, Ili Kupambana na Tabia Nchi

Na Javier Silas Omagor Miaka mitano iliyopita wakati Musa Mandu alimufahamisha mke na jamii yake kwamba atawachana na kazi yake ya serikali ya mtaa ili apambane na tabia nchi wilayani Manafwa, walisikitika sana. “Hawakuelewa maana yake ni nini. Hawakudhania kwamba hii ingeniwezesha kujimudu na kumudu jamii yangu kifedha,” Mandu alisema. “Haikuwa na bado sio kitu […]
By:
Soma zaidi...
IMG61110 Nyabarongo
Mabadiliko ya hali ya hewa
Rwanda

Vijana Nchini Rwanda Wachukuwa Usukani Katika Utunzi wa Tengamaji wa Nyabarongo

Na Aimable Twahirwa Ni masaa ya asubuhi Jumatatu moja lenye joto jingi huko Nyamagabe,  ambayo ni wilaya iliyo na milima mingi Kusini mwa Rwanda, ambako kundi la vijana limekusanyika kwa mkutano, ili kushiriki katika mafunzo muhimu ya kuzuia momonyoko wa udongo wa kila mara hadi mto jirani wa Nyabarongo. Mkakati huu ni mojawapo ya zoezi […]
By:
Soma zaidi...
Pictures INfoN
Hadithi Zote
Sudan South

Green Horizon, mradi wa usalama wa chakula washughulikia maslahi ya jamii za Jebel Ladu huku ukikuza mazao kutuliza janga la njaa nchini Sudan Kusini

Zaidi ya hektari milioni 2.5 ya ardhi nchini Sudan Kusini imetwaliwa na wawekezaji haswa wa kimataifa tangu mwaka wa 2006 Na David Mono Danga Ripoti hii imetayarishwa kwa ushirikiano wa InfoNile na Code for Africa na usaidizi kutoka kwa Pulitzer Center. Sudan Kusini, taifa changa zaidi duniani inakumbana na changamoto nyingi, ikiwemo umaskini na njaa. […]
By:
Soma zaidi...