Stories / Author

Ruth Mwizeere

Uchafuzi wa mazingira unaotokana na taka za plastiki katika Ziwa Victoria

InfoNile inawakaribisha wanahabari wanawake kutoka nchi za Uganda, Kenya na Tanzania, kuwasilisha maombi ya kuandika habari za; ‘Uchafuzi wa mazingira unaotokana na taka za plastiki katika Ziwa Victoria’. Habari hizo ni mfululizo wa habari zinazoangazia madhara ya uchafuzi wa mazingira unaotokana na plastiki na uvumbuzi wa ndani uliofanywa ili kukabiliana na uchafuzi huo. Mradi huu […]
By:
Soma zaidi...