Stories / Author

Konjit Teshome

tana

Gugumaji Lahatarisha Ziwa Tana

Mamlaka la kimazingira linalohusisha musitu na wanyama pori eneo la Amhara wamesema kuwa ikiwa hatua hazitachukuliwa kuthibiti mmea vamizi la gugumaji ndani ya Ziwa Tana, mmea huo huenda ukaenea maeneo mengine nchini, hivyo kusababisha uharibifu.
By:
Soma zaidi...
5555

Ziwa Cheleleka Laelekea Kukauka

Lilikuwa eneo lilotajika kuwa kiini cha mapumziko ukitumia mashua za kawaida ama motaboti na lilionyesha mandhari ya kuvutia inayotumika kutembea kando mwa ziwa. Lakini sasa asilimia 80 ya ardhi iliyokuwa sehemu ya ziwa imeshakauka na inatumika katika ukulima. Hususa kaskazini na mashariki mwa sehemu ya ziwa, shughuli kubwa ya kilimo inaendelea. Pia kuna maeneo ya […]
By:
Soma zaidi...
ethiopia 2

Nchi yajitahidi kuendeleza mradi wa kimazingira

Baolojia yatueleza kuwa maisha huletwa kwa kujumuika pamoja. Hakuna kinachoweza kusimama peke yake. Hata mawanadamu ambaye anao uwezo mkubwa wa kudhibiti mazingira, hawezi ishi bila mimea na wanyama, kwa vile maisha hayawezekani bila utegemeano. Hivyo, nchi ya Uhabeshi imekuwa ikiendeleza mradi wa kimazingira ambayo itazipa nguvu juhudi za kitaifa na kimataifa za kuhifadhi mazingira
By:
Soma zaidi...
fff

Maporomoko ya Ardhi Yawaua Watu 23 Uhabeshi

Maporomoko ya ardhi kusini mwa eneo la Oromoia nchi ya Uhabeshi yawaua watu 23, siku ya Jumamosi. Kituo cha habari cha FANA kiliripoti kuwa kisa cha maporomoko ya ardhi kilitokea baada ya mvua kubwa kunyesha jioni. Watu sita pia walijeruhiwa na zaidi ya mifugo 30 waliangamia.
By:
Soma zaidi...
dam66

Bilioni 11.58 Zakusanywa kwa Ujenzi wa GERD

Afisi la baraza la kitaifa linaloratibisha ushirikishi wa umma kuhusu ujenzi wa bwawa, lilibainisha kwamba Birr bilioni 11.58 imeshakusanywa kutoka kwa umma tangu mwanzo wa ujenzi wa bwawa. Ili kushirikisha umma kwa kiasi kikubwa, mashindano ya mbio imepangwa taifa nzima, Jumapili ijayo. “Nitakimbilia Abay” zitawahusisha zaidi ya watu 250,000. Hadi sasa, zaidi ya watu 230,000 […]
By:
Soma zaidi...