Stories / Author

Alis Okonji

biografia ingles

Ufadhili Ndogo ya Uandishi Kuhusu Uhalifu  Dhidi ya Wanyapori Afrika Mashariki (Small Grant for Writing About Crimes Against Wildlife in East Africa)

InfoNile pamoja na Oxpeckers Investigative Environmental Journalism inawaalika waandishi wa habari kutoka Uganda, Kenya, Tanzania and Rwanda kuwasilisha wazo la undani kuhusu uhalifu kwa wanyamapori na juhudi za kisheria za  Afrika Mashariki. Muungano wa kimataifa ya kupambana na uhalifu wa Wanyamapori (The International Consortium on Combating Wildlife Crime) unaelezea uhalifu wa wanyamapori kama kuwanasa, kufanyia […]
By:
Soma zaidi...
IMG 7170 scaled
Hadithi Zote

Maji yanapoimeza ardhi ya wakazi wa Ripon

Habari ya ardhi inayozama  inaangazia tamu na chungu ya uhusiano uliopo kati binadamu na maji kwa wakazi waishio  eneo la Ripon eneo ambalo lipo karibu kabisa na chanzo cha mto Nile kwenye Ziwa Viktoria upande wa Uganda. Ni mwendo wa kati ya dakika tano na kumi kwa usafiri wa boti kutoka eneo hili hadi Ziwa […]
By:
Soma zaidi...
IMG 6268 2
Hadithi Zote

Uokoaji Wa Twiga aina ya Rotchild nchini Kenya

Mwandishi: Sharon Atieno Twiga wa Rothschild hupatikana tu nchini Uganda na Kenya Kumekuwa na upungufu wa karibu 40% katika idadi ya twiga nchini kwa zaidi ya miongo mitatu iliyopita. Soma zaidi juu ya hatua za Kituo cha Twiga kuokoa Rothschild kupitia Uhifadhi na Uhamishaji Kati ya aina tisa za twiga zinazopatikana barani Afrika, tatu mingoni […]
By:
Soma zaidi...