Twiga Wadidimizwa Mpakani

Kesi chache kuhusu uwindaji haramu hunakiliwa mahakamani na washukiwa huchukuliwa hatua ikilinganishwa na idadi inayonakiliwa na walinda misitu nyanjani japo ushadi dhabiti hupotea.