Janga la Covid-19 Lilivyowakatisha Tamaa Wakulima Wakutegemea Unyunyiziaji Maji Nchini Kenya na Uganda
Ujio wa virusi vya Corona humu nchini Kenya ulibadilisha mfumo wao wa ukulima. Hii ni kutokana na sheria zilizowekwa na serikali ikiwemo kutosafiri kutoka eneo moja hadi jengine na masaa ya kutotoka nje usiku maarufu Kafyu