TAWIRI yabuni mbinu za kuzuia tembo kuvamia mashamba vijijini
Hatimaye Taasisi ya Utafiti wa Wanyampori Tanzania (TAWIRI) imebuni mbinu saba, ambazo tayari zimeanza kutumika kuzuia tembo kuvamia na kuharibu mashamba ya mazao ya chakula vijijini.