
Mbeya, Tanzania: Ukosefu wa akiba ya maji ya kutosha kuosha mikono mara kwa mara katika kaya
Wananchi wa vijiji vya Madundasi na Iyala vilivyopo kata ya Luhanga wilayani Mbarali mkoani Mbeya nchini Tanzania wamekuwa na changamoto ya uhaba wa vyazo vya maji kwa muda mrefu ambapo wanakwenda kwenye mto ambao upo mbali na makazi yao.