Huku majanga ya ugonjwa na ukosefu wa maji yakizidi nchini Kenya, WaterCredit, umewezesha jamii za mapato ya chini kujipatia maji huku ikidumisha hali ya usafi kupitia mikopo midogo.
Na George Achia Rose Okeyo mwenye umri wa miaka 38, alikuwa tayari anatatizika kupata maji