Vinamasi ni vichungi asilia. Hukithi mahitaji ya maji na kuhimili maishilio. Hupunguza tabia nchi. Huzuia mafuriko.
InfoNile inaadhimisha siku ya maji mwaka huu yaani World Water Day 2019 kwa makala manne asili ya midia-anuai kuhusu suluhisho bunifu zinazofanya kazi kuhifadhi vinamasi Afrika Mashariki.