Samaki Aina ya Sangara Yahatarika Afrika Mashariki

Samaki Aina ya Sangara Yahatarika Afrika Mashariki

Eunice Atieno Ong’iro, mwenye miaka 34, ampasua samaki aina ya sangara, na kuondoa utumbo wake wenye rangi inayokaribia nyeupe, ukubwa wake ukiwa hauzidi ngumi moja. Anaweka kiungo hicho kwenye uzani, kisha ananakili uzani wake kwenye kitabu na kuihifadhi utumbo huo katika mfuko wa plastiki. Ndani ya mda usiozidi sekunde chache tu, zoezi hili linakamilika na yuko tayari kuanza tena.

“Huwa wanakuja baada ya siku tatu. kukusanya tumbo hizi,” asema Eunice, akiashiria wanabiashara ambao huzinunua tumbo hizi.

Biashara inayoshamiri Afrika mashariki ya tumbo hizi za samaki (zinazojulikana pia kama vibofu vya kuogelea) imekita miongoni mwa jamii zilizopo ufuoni wa Ziwa Victoria. Biashara hii inatatisha kuangamiza samaki huyu.

Like this article?

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on Linkedin
Share on Pinterest
Share on Telegram
Share on WhatsApp

Leave a comment

Related Posts