Sheria Hafifu za Kimazingira Zimepelekea Kudidimia kwa Kiwango cha Maji Ziwani Tanganyika

Sheria Hafifu za Kimazingira Zimepelekea Kudidimia kwa Kiwango cha Maji Ziwani Tanganyika

Ziwa Tanganyika linakimu mahitaji ya maji ya watu zaidi ya milioni 50 ndani ya nchi nne za Tanzania, Burundi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na Zambia. Hata hivyo, takwimu za hivi karibuni zinataja kuwa kina cha ziwa hilo – lililoko magharibi mwa Tanzania, mashariki mwa DRC na Burundi – kimepungua kwa kiasi cha mita mbili za ujazo, hali inayotajwa kuwa hatari kwa ziwa hilo.

Prosper Kwigize, ambaye ni mwanahabari katika kituo cha radio cha Mpanda Radio alitembelea eneo hili kutaka kujua sababu za kupungua kwa kiwango cha maji ziwani. Anaangazia swala katika jarida lake la Mtu na Mazingira.

Ripoti hii imefanyika kwa hisani ya InfoNile na Code for Africa ambayo ilipeperushwa hewani na Mpanda Radio nchini Tanzania na kituo cha radio cha DW Bonn, nchini Ujerumani.

Like this article?

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on Linkedin
Share on Pinterest
Share on Telegram
Share on WhatsApp

Leave a comment

Related Posts