Matumizi Yasiyoendelevu ya Kimazingira Yatisha Ziwa Rukwa

Matumizi Yasiyoendelevu ya Kimazingira Yatisha Ziwa Rukwa

Prosper Kwigize aangazia matokeo ya uharibifu wa kimazingira nchini Tanzania kupitia kipindi chake cha Mtu na Manzingira, kinachopeperushwa hewani na Mpanda Radio nchini Tanzania na ile ya DW, mjini Bonn, nchi ya Ujerumani.

Ingawaje Tanzania ni mojawapo ya mataifa ya Africa Mashariki ambayo yamejaliwa na mazingira mazuri, Watanzania wanalaumiwa kutokuwa na matumizi endelevu ya raslimali ya mazingira kama vile maziwa, mito na bahari, hivyo kuhatarisha uwepo wao. Siku za hivi karibuni kwa mfano, nchi imeshuhudia kukauka na hata kupotea kwa baadhi ya mito. Kina cha Ziwa Rukwa na Ziwa Tanganyika kimethibitika kupungua kwa zaidi ya mita 100.

Ripoti hii imefanyika kwa hisani ya InfoNile na Code for Africa ambayo ilipeperushwa hewani na Mpanda Radio nchini Tanzania na kituo cha radio cha DW Bonn, nchini Ujerumani.

Like this article?

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on Linkedin
Share on Pinterest
Share on Telegram
Share on WhatsApp

Leave a comment

Related Posts