Michelle Galloway
Usambazaji wa raslimali ya maji usio wa kisawa na athari ya madiliko ya tabia nchi yaendelea kuzorotesha uwepo wa maji masafi katika nchi nyingi Afrika.
Hii ni kwa mujibu wa Lydia Olaka, msomi katika taasisi ya Stellenbosch Institute for Advanced Study. Olaka ambaye yuko kwa Idara ya Jiolojia, Chuo Kikuu cha Nairobi, anasomea utafiti wa ubora wa maji na kuwepo kwa taratibu na miongozo katika miji saba za Afrika, na aliwasilisha matokeo ya kwa wasomi wa STIAS.