Katika mkutano mmoja nchini Nigeria wiki hii, miji tisa za Africa zilijitolea kupunguza kiwango cha kaboni hewani hadi sufuri katika miongo mitatu ijayo.
Miji hii inajumuisha miji mikuu Africa kama vile Accra, Cape Town, Lagos na Johannesburg.
Adjei Sowah, Meya wa jiji la Accra alisema wakaaji jijini mwake “waendelea kuwa na ufahamu” kuhusu maswala ya mabadiliko ya taianchi.