Maporomoko ya ardhi kusini mwa eneo la Oromoia nchi ya Uhabeshi yawaua watu 23, siku ya Jumamosi. Kituo cha habari cha FANA kiliripoti kuwa kisa cha maporomoko ya ardhi kilitokea baada ya mvua kubwa kunyesha jioni. Watu sita pia walijeruhiwa na zaidi ya mifugo 30 waliangamia.
Maporomoko ya Ardhi Yawaua Watu 23 Uhabeshi
Maporomoko ya Ardhi Yawaua Watu 23 Uhabeshi
Like this article?
Share on Facebook
Share on Twitter
Share on Linkedin
Share on Pinterest
Share on Telegram
Share on WhatsApp
Leave a comment
Related Posts