Ishraqa Abbas
Changamoto zinazohusu upatikanaji wa habari za maji eneo la Nile, haziwakabili tu wanahabari. Wataalamu, wanasayansi na wanasiasa wahusika pia wao wanakabiliana na changamoto hii, hivyo kuifanya kazi ya wanahabari kuwa ngumu zaidi. Kama ilivyoangaziwa katika kongamano la sayansi ambalo lilijadili matatizo ya mawasiliano pamoja na habari za mausiano ya kisayansi, kati ya vyombo vya habari na wahusika watu waliotajwa hapo mbeleni.