Bilioni 11.58 Zakusanywa kwa Ujenzi wa GERD

Bilioni 11.58 Zakusanywa kwa Ujenzi wa GERD

Afisi la baraza la kitaifa linaloratibisha ushirikishi wa umma kuhusu ujenzi wa bwawa, lilibainisha kwamba Birr bilioni 11.58 imeshakusanywa kutoka kwa umma tangu mwanzo wa ujenzi wa bwawa.

Ili kushirikisha umma kwa kiasi kikubwa, mashindano ya mbio imepangwa taifa nzima, Jumapili ijayo. “Nitakimbilia Abay” zitawahusisha zaidi ya watu 250,000. Hadi sasa, zaidi ya watu 230,000 wameshajisajili, kwa mujibu wa afisi. Afisi hiyo imesema kwamba washiriki 90,000 watashiriki katika mbio hizo za kilomita 7.

Like this article?

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on Linkedin
Share on Pinterest
Share on Telegram
Share on WhatsApp

Leave a comment

Related Posts