Maziwa nchini Uhabeshi yamekaribia hatari. Kulingana na watafiti, ingawaje maziwa huwanufaisha wanadamu kwa kiwango kikubwa, hayashughuliwi vilivyo. Hii ndiyo sababu watu wanahangaika mno. Ili kuzuia uharibifu wa maziwa, na kuyahifadhi, hatua muhimu yahitajiwa kuchukuliwa, wataalamu wamependekeza.