Katika mwongo uliopita, inakadiriwa kwamba ndovu Afrika imepungua kwa idadi ya wanyama 111,000, kulingana na ripoti moja mwaka wa 2016, iliyosababishwa na uwindaji haramu.
Malawi, imetajwa na shirika la Conference of the Parties to the Convention on International Trade in Endangered Species (CITES) kuwa “nchi ya kutilia shaka za kimsingi” ambayo impoteza asilimia hamsini ya idadi ya ndovu wake, tangu mwaka wa 1980.