website call

Mwito wa kutuma maombi: Ushirika wa Hadithi za Uchambuzi wa Rasilimali za Maji za Kimkakati (Call for applications: Strategic Water Resources Analysis Stories Fellowship)

InfoNile  na MiCT/ The Nile inaalika wanahabari walioko nchi za Uhabeshi, Eritrea, Misri, Sudan, Sudan Kusini, Kenya, Tanzania, Rwanda, Burundi na DRC wanaombwa kuwasilisha maombi ya habari upekuzi aina ya mseto(multimedia) inayohusika na /au malengo ya Nile Basin Initiative (NBI) Strategic Water Resources Analysis na kuzilinganisha na seti ya data na makadirio mitindo katika bonde […]
placeholder

Ufadhili Ndogo ya Uandishi Kuhusu Uhalifu  Dhidi ya Wanyapori Afrika Mashariki (Small Grant for Writing About Crimes Against Wildlife in East Africa)

InfoNile pamoja na Oxpeckers Investigative Environmental Journalism inawaalika waandishi wa habari kutoka Uganda, Kenya, Tanzania and Rwanda kuwasilisha wazo la undani kuhusu uhalifu kwa wanyamapori na juhudi za kisheria za  Afrika Mashariki. Muungano wa kimataifa ya kupambana na uhalifu wa Wanyamapori (The International Consortium on Combating Wildlife Crime) unaelezea uhalifu wa wanyamapori kama kuwanasa, kufanyia […]
placeholder

MAOMBI YA RUZUKU: #EverydayNile: Hadithi katika picha na Sayansi ya Diplomasia ya Maji

Taasisi ya InfoNile inawatangazia wapiga picha na wapiga picha za kihabari, kutoka katika nchi za Burundi, DR Congo, Egypt, Eritrea, Ethiopia, Kenya, Rwanda, Sudan Kusini, Sudan, Tanzania na Uganda kuwasilisha maombi ya kampeni ya uandishi wa picha za kihabari yatakayofanyika kwa njia ya mtandao. Kampeni hiyo ni kwa ajili ya kuripoti  habari za Mto Nile […]